Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis Tafsiri: Bani Israil Ayah 66

17:66
ربكم الذي يزجي لكم الفلك في البحر لتبتغوا من فضله انه كان بكم رحيما ٦٦
رَّبُّكُمُ ٱلَّذِى يُزْجِى لَكُمُ ٱلْفُلْكَ فِى ٱلْبَحْرِ لِتَبْتَغُوا۟ مِن فَضْلِهِۦٓ ۚ إِنَّهُۥ كَانَ بِكُمْ رَحِيمًۭا ٦٦
رَّبُّكُمُﲾ
ٱلَّذِيﲿ
يُزۡجِيﳀ
لَكُمُﳁ
ٱلۡفُلۡكَﳂ
فِيﳃ
ٱلۡبَحۡرِﳄ
لِتَبۡتَغُواْﳅ
مِنﳆ
فَضۡلِهِۦٓۚﳇﳈ
إِنَّهُۥﳉ
كَانَﳊ
بِكُمۡﳋ
رَحِيمٗاﳌ
٦٦ﳍ
Mola wenu Mlezi ndiye anaye kuendesheeni marikebu katika bahari ili mtafute katika fadhila zake. Hakika Yeye ni Mwenye kukurehemuni nyinyi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mola wenu, enyi watu, Ndiye Anayewaendeshea vyombo vya kusafiria baharini ili mtafute riziki ya Mwenyezi Mungu katika safari zenu na biashara zenu. Hakika Mwenyezi Mungu , kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, ni Mwingi wa huruma kwa waja Wake.